Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

TFF yawaondoa wachezaji wa Simba ndani ya ‘Taifa Stars’, viongozi wao kupelekwa kwa pilato

Wednesday 29-08-2018 09:00:02pm Bongo5


Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limewaengua katika kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ wachezaji sita wa timu ya Simba kutokana na kuchelewa kuripoti kambini kwa mujibu wa utaratibu uliowekwa na kocha, Emmanuel Amunike. Katibu mkuu wa TFF, Wilfred Kidao Nyota hao walitakiwa kuripoti kambini jana usiku huku wakiwa wamepewa taarifa wakati Aishi …The post TFF yawaondoa wachezaji wa Simba ndani ya ‘Taifa Stars’, viongozi wao kupelekwa kwa pilato appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E