Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Uganda: DJ auwawa baada ya kupiga nyimbo mbaya kwenye ukumbi wa burudani

Saturday 19-01-2019 09:00:03am Bongo5


Huko nchini Uganda DJ mmoja amepatwa na mauti baada ya kuvamiwa na kundi la vijana waliompiga kwa kosa la kuweka wimbo ambao hawakuupenda walipokuwa wanacheza muziki kwenye ukumbi mmoja uliopo wilayani Nebbi nchini humo. Dj Jerry Okirwoth alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Parombo, alikuwa anajitolea kufanya kazi ya U-DJ …The post Uganda: DJ auwawa baada ya kupiga nyimbo mbaya kwenye ukumbi wa burudani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E