🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 03-08-2018 09:00:01am Bongo5
Msanii wa muziki, Vanessa Mdee na Muigizaji wa filamu, Gabo wamewaunga mkono BASATA kwa kukubaliana na sheria na kanuni mpya za BASATA zinazowataka wasanii wakate kibali cha kwenda nje ya nchi kwenye shughuli za kisanaa. Akizungumza na Bongo5, Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Onesmo Kayanda amesema Vanessa Mdee ameshapatiwa kibali kaenda Afrika Kusini huku Gabo …The post Vanessa Mdee na Gabo wakwepa rungu la BASATA (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E