🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 05-07-2018 09:00:01pm Bongo5
Mdogo wa mzee Peter, Bazo Peter, ambaye ameteuliwa kuwa msemaji wa familia amemshukuru Muna kwa kukubali msiba ufanyike Mwananyamala kwa baba wa mtoto na baadae kupelekwa Leaders Club kwaajili ya kuagwa. Msemaji huyo amedai kwamba Muna alitoa sharti marehemu mtoto wake azikwe katika makaburi ya Kinondoni jambo ambalo walilikubali. Alisema mwili utawasili kesho saa tano .The post Video: Muna amekubali msiba uende Mwananyala kwa sharti maalum! appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E