Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Video: Nyumba 32 za bomolewa Dar, wananchi walala nje, wadai waliingizwa mkenge na kiongozi wa Mtaa

Thursday 14-03-2019 09:00:02am Bongo5


Wananchi wa Kitongoji cha Yangeyange Kata ya Msongola Ilala jijini Dar es salaam wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu baada ya nyumba zao zaidi ya 32 kubomolewa na kampuni moja ya udalali iitwayo, Lumina kwa madai kwamba wamepewa oda hiyo na Mahakama baada ya mteja wao ambaye anajulikana na kwa jina moja, Scolastica kushinda kesi ya …The post Video: Nyumba 32 za bomolewa Dar, wananchi walala nje, wadai waliingizwa mkenge na kiongozi wa Mtaa appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E