🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 30-10-2018 09:00:03pm Bongo5
Msanii wa muziki Karen ambaye ni mtoto wa mtangazaji wa Clouds FM, Gadner G Habashi amefunguka kwa kudai kwamba mpaka sasa bado hajampata mwanaume sahihi ambaye anaweza anza naye safari ya mahusiano ya mapenzi. Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Washa amedai kwa sasa anapamba na muziki wake kwanza na mambo mengine baadae.The post Video: Sijapata mwanaume ambaye naweza kuanza naye safari ya mapenzi – Karen appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E