🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Wednesday 29-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Khalid Mohamed a.k.a Tid amewakemea vikali baadhi ya wasanii wanaotoa muziki wa kufanana fanana maana wanauharibu muziki wetu. Msanii huyo amefunguka hayo wakati anapiga stori na Bongo 5 kuhusiana na nyimbo yake mpya ya Washa ambayo amemshirikisha Kasimu Mganga. hii ndio kauli ya Tid:- TID ameachia nyimbo yake mpya …The post VIDEO: TID awakemea wanaoharibu muziki wetu “Waache kutoa muziki unaofanana fanana” appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E