Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

VIDEO: Wema Sepetu aburuzwa Mahakamani, afanikiwa kupata dhamana kwa masharti magumu (+video)

Thursday 01-11-2018 09:00:02pm Bongo5


Msanii wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu leo Novemba 01, 2018 ameachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam baada ya kuburuzwa mahakamani hapo kusikiliza kesi inayomkabili ya Kusambaza picha za faragha mtandaoni. Wema Sepetu alipata dhamana mahakamani hapo baada ya kukidhi vigezo, ambapo moja ya sharti lilikuwa ni kupata mdhamini mmoja …The post VIDEO: Wema Sepetu aburuzwa Mahakamani, afanikiwa kupata dhamana kwa masharti magumu (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E