🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Monday 27-05-2019 09:00:04pm Swahili Times
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema kuwa video ya ngono iliyosambaa mtandaoni juma lililopita ikidaiwa kuwa ni ya kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, ni ya kutengenezwa. Kangi Lugola amesema kuwa baada ya wataalamu kutoka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi, wamegundua kuwa video hiyo inayodaiwa ni ya Askofu Josephat Gwajima Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E