🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Tuesday 30-04-2019 09:00:04am Bongo5
Mkuu wa Wilaya Nanyumbu, Moses Machali, amedai kunusurika kukatwa panga na muuza madafu akihamasisha wajasiriamali kuchukua vitambulisho vya Wafanya biashara wadogo wadogo. Machali amethibitisha taarifa hiyo inayoeleza kuwa baada ya kufika katika kijijini cha Mikangaula wilayani humo, alisimama kununua madafu huku akikagua wenye vitambulisho na kuhamasisha wasio navyo kulipia lakini mmoja wa wauza madafu alianza …The post VUTA NIKUVUTE: DC na muuza madafu watoleana Bastola na Panga kisa vitambulisho vya Magufuli appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E