🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 12-04-2019 09:00:02am Bongo5
Umati mkubwa umeendelea kuwepo katika mitaa ya mji mkuu wa Sudan , Khartoum, na kupuuza amri ya kutotoka nje wakati wa usiku iliyotangazwa na baraza jipya la jeshi nchini humo. Kwa mujibu wa BBC. Kiongozi wa muda mrefu -Rais Omar al-Bashir alipinduliwa na kukamatwa siku ya Alhamisi baada ya miezi kadhaa ya maandamano. Lakini waandamanaji …The post Waandamanaji Sudan wakaidi agizo hili la Jeshi, baada ya jeshi hilo kumpindua Bashir madarakani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E