🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 26-10-2018 09:00:02am Bongo5
Wabunge wa nchi hiyo wamemchagua Mwanadiplomasia mahiri Sahle-Work Zewde kuwa Rais, Anakuwa Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo katika Taifa la Ethiopia. Anachaguliwa ikiwa ni siku kadhaa tangu Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Abiy Ahmed ateuwe Baraza la Mawaziri lenye nusu ya Wanawake. Wakati akihutubia Sahle Work amesisitiza kutunza amani ya nchi hiyo. Ethiopia imeandika …The post Wafahamu wanawake waliowahi kushika nyadhifa za Urais katika mataifa tofauti ya Kiafrika appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E