🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 07-04-2019 09:00:04am Bongo5
Hospitali kuu Nchini Kenya ya Kenyatta imesema kuwa imewaachilia huru wagonjwa 52 kwenda nyumbani kufuatia madai kwamba walikuwa wanazuiliwa baada ya kushindwa kulipa gharama zao za matibabu. Taarifa kutoka hospitali hiyo ya kitaifa imesema kuwa zaidi ya wagonjwa 250 wameruhusiwa kuondoka. Hospitali hiyo imekana madai kwamba baadhi ya wagonjwa walikuwa wamezuiliwa kinyume na matakwa yao, …The post Wagonjwa 250 walioshindwa kulipia matibabu Kenya, watolewa hospitalini appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E