🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 20-04-2019 09:00:04pm Bongo5
Raia nchini Misri wameanza kupiga kura ya maoni asubuhi hii inayolenga kumpa nguvu zaidi Rais Abdel Fattah al-Sisi. Kura hiyo iliyopingwa na makundi ya haki za binaadamu, inatazamiwa kuridhia mabadiliko makubwa ya kikatiba ambayo yataongeza muhula wa al-Sisi madarakani hadi mwaka 2030. Mbali ya hilo, kura hiyo pia itampa kiongozi huyo wa kijeshi aliyegeuka kuongoza …The post Wamisri wapiga kura kumuongezea muda wa uongozi Rais wa taifa hilo appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E