🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 29-08-2019 09:00:03pm Bongo5
Kutokana na ripoti ya  sekta ya elimu kwa Mkoa wa Mwanza imeonyesha  kuwa mwaka 2018  jumla ya wanafunzi 300 wa  shule za  msingi na Sekondari walipata ujauzito huku kesi nyingi zikionekana kuishia vituo vya polisi na ofisi za kata. Pia ripoti hiyo imebainisha kwamba baadhi ya wanafunzi wanaoishi shule za bweni wamekuwa na tabia ya kutoroka usiku na kuwafuata wanaume …The post Wanafunzi 300 wapata ujauzito Mwanza, Yadaiwa kuruka ukuta usiku kutafuta wanaume uraiani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E