🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 13-07-2018 09:00:01pm Bongo5
Rais wa Marekani, Donald Trump jana Julai 12, 2018 alipokelewa kwa maandamano makali nchini Uingereza kwenye ziara ya kikazi ya siku nne nchini humo. Maelfu ya raia wa Uingereza ambao walipinga ziara hiyo ya Rais Trump mapema mwaka huu, wamejitokeza kwenye maandamano hayo leo tena katika eneo viunga vya bunge la Uingereza na barabara kubwa .The post Wananchi wenye hasira kali watibua ziara ya Rais Donald Trump nchini Uingereza (+picha) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E