🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 07-12-2018 09:00:02am Bongo5
Aliyekuwa meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ameonyesha hali ya maskhara hapo jana usiku siku ya Alhamisi baada ya kusema kuwa anajutia kuchelewa kuondoka Arsenal kwasababu sasa anatwaa tuzo kila wiki. Mfaransa huyo alitunukiwa tuzo ya ‘lifetime achievement award’ kutoka ‘League Managers Association’ baada ya kutwaa nyingine kama hiyo ya ‘Leaders Sport Awards’ mapema mwamwezi Oktoba. Meneja …The post Wanger afunguka baada ya kutwaa tuzo ‘Tangu nilipoachana na Arsenal nimekuwa nikishinda tuzo kila wiki’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E