🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Sunday 01-07-2018 09:00:02pm Swahili Times
Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo Julai 1 2018, amefanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri. Pamoja na mabadiliko mengine, Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt Mwigulu Nchemba ameondoshwa katika nafasi yake na badala yake ameteuliwa Mbunge wa Mwibara Kangi Alphaxard Lugola kuchukua nafasi yake. Kutokana na unyeti wa Wizara hiyo, hapa chini tumekuwekea wasifu mfupi wa Waziri huyo mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Kangi Lugola ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara mkoani Mara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Amezaliwa Mei 25 mwaka 1963, ikimaanisha sasa ana umri wa miaka 55. Alipata elimu yake ya . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E