Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Watu 137 waliopoteza ndugu MV Nyerere waanza kupokea milioni 1 kwa kila mmoja

Tuesday 25-09-2018 09:00:01pm Bongo5


Watu 137 waliopoteza ndugu katika ajali ya kivuko cha Mv Nyerere wameanza kupokea mkono wa pole wa Sh1 milioni kwa kila marehemu aliyetambuliwa na kuchukuliwa kwa mazishi. Awali, ndugu hao walishakabidhiwa mkono wa pole wa Sh500, 000 kwa kila mwili uliotambuliwa. Wameanza kupokea fedha hizo kuanzia leo asubuhi Jumanne Septemba 25, 2018. Nyongeza ya Sh1 …The post Watu 137 waliopoteza ndugu MV Nyerere waanza kupokea milioni 1 kwa kila mmoja appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E