Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Watu watano wafariki dunia baada ya lori na gari ndogo kugongana na kuwaka moto

Saturday 31-08-2019 09:00:04pm Bongo5


Watu watano wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana na kupinduka, kisha moja kuteketea kwa moto wilayani Rufiji mkoani Pwani. Taarifa ya polisi inasema Lori linalomilikiwa na kampuni ya Dangote lenye namba za usajili T 191 DKT lililokuwa likitokea Mkuranga kuelekea Kibiti liligongana na Gari dogo lenye namba T 105 DGX T/Premio …The post Watu watano wafariki dunia baada ya lori na gari ndogo kugongana na kuwaka moto appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E