Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Waziri Kangi Lugola aeleza sababu za watu kutekwa nchini

Saturday 13-10-2018 09:00:03pm Swahili Times


Baadhi ya sababu zinazosababisha watu kutekwa nchini kuwa ni masuala ya kisiasa, kiuchumi, imani za kishirikina, wivu wa kimapenzi, visasi au kudhulumiana. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola leo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kiusalama nchini. Akizungumzia tukio la kutekwa kwa mfanyabishara Mohammed (Mo) Dewji, Waziri Kangi Lugola amesema kuwa, sababu za kutekwa kwake haziwezi kujulikana sasa hivi mpaka hapo atakapopatikana, pamoja na watekwaji kutiwa mbaroni. Akiendelea kutolea ufafanuzi jambo hilo, alisema kuwa, mtu anaweza kutekwa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E