🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 08-08-2019 09:00:04am Bongo5
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewasimamisha kazi watumishi 183 wa Wizara yake kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuingilia mfumo wa kukadiria na kukusanya kodi ya pango la ardhi kinyume na taratibu na kusababisha upotevu wa mapato ya Serikali. Waziri Lukuvi amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo …The post Waziri Lukuvi awasimamisha kazi watumishi 183, majina 20 kufikishwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E