Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

WIKI YA MWANANCHI: Mashabiki wa Yanga SC wajaza Uwanja wa Taifa (+VIDEO)

Sunday 04-08-2019 09:00:04pm Bongo5


Klabu ya Yanga inatarajia kushuka dimbani leo Jumapili Agosti 4, 2019, kukabiliana na Kariobang Sharks ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha  tamasha la Wiki ya Wananchi, Mchezo utachezwa Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es Salaam majira ya saa 10:00 jioni. Tamasha hilo ni maalum  kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji watakaoitumikia timu hiyo msimu ujao …The post WIKI YA MWANANCHI: Mashabiki wa Yanga SC wajaza Uwanja wa Taifa (+VIDEO) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E