Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Yanga yaigeukia Simba ”Wanatuambia wachezaji wetu wamechukua chakula ndani ya Ndege” (+Video)

Friday 06-09-2019 09:00:03pm Bongo5


Uongozi wa klabu ya Yanga umewaonya mahasimu wao Simba SC kuawacha propaganda dhidi yao hasa kumzungumzia vibaya kocha wao Mwinyi Zaher. ”Wamekuwa wakisema mwalimu Mwinyi Zahera haelewani na Kamati, mara amepewa mechi tatu kitu ambacho ni cha uwongo.” Amesema Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela. Mwakalebela ameongeza ”Wachezaji wetu wamepanda ndege unaambiwa wamechukua vitu, chakula …The post Yanga yaigeukia Simba ”Wanatuambia wachezaji wetu wamechukua chakula ndani ya Ndege” (+Video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E