🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Monday 22-04-2019 09:00:03am Bongo5
Watu 207 wameuawa na wengine 450 kujeruhiwa katika msururu wa mashambulio ya mabomu dhidi ya makanisa na hoteli nchini Sri Lanka. Milipuko minane imeripotiwa katika mashambulio dhidi ya makanisa matatu mjini Kochchikade, Negombo na Batticaloa ambayo yalisahambuliwa wakati wa ibada ya Pasaka. Hoteli za The Shangri La, Cinnamon Grand na Kingsbury ambazo zipo mjini Colombo, …The post Zaidi ya watu 200 wauawa katika shambulio la Makanisa Sri Lanka appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E