🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Saturday 25-08-2018 09:00:02am Bongo5
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amekerwa na Watanzania wanaoponda muonekano wa wahudumu wa kike wa shirika la ndege la Tanzania (ATCL). Zitto amesema kitendo hicho cha kusambaza picha mitandaoni sio kizuri kwani kinalenga kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwanyayasa wahudumu hao ambao kwa kifupi ni watu ambao wamesomea taaluma hiyo. …The post Zitto awacharua Watanzania wanaoponda muonekano wa wahudumu wa ATCL ‘nimeshtushwa na kustaajabishwa’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E