đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Thursday 25-10-2018 09:00:02pm Swahili Times
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu ameomba msamaha watu mbalimbali ikiwemo Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bodi ya Filamu Tanzania baada ya video yake akibusiana na mwanaume kusambaa kwenye mitandao ya kijamii. Wema ameomba msamaha wakati akizungumza na vyombo vya habari leo ambapo amesema anajutia kitendo hicho na kwamba anawaomba msamaha wale wote aliowakwaza na zaidi mama yake mzazi. Amesema kuwa wapo watu wengi wanaomtazama yeye kama kioo cha jamii, na hivyo kusambaa kwa video hiyo ambayo amesema hataki kutupa lawama kwa mtu yeyote, anajua kutakuwa kumewakwaza wengi. Licha ya Wema kuchukua hatua hiyo, watu wameona kutokujali kwa kile . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E