Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Uamuzi wa Mahakama ya Kisutu kesi ya mauaji ya Akwilina Akwilini

Thursday 25-10-2018 09:00:02pm Swahili Times


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayohusua mauaji ya Akwilina Akwilin inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Manendeleo (CHADEMA) na Wabunge 7 hadi Novemba Mosi mwaka huu. Akwilina ambaye alikuwa Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji a aliuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, akiwa kwenye daladala eneo la Kinondoni Mkwajuni jijini Dar es Salaam akitokea Mabibo wakati askari wakiwatawanya wafuasi wa CHADEMA waliokuwa wakielekea ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Kinondoni ikiwa ni siku moja kabla ya uchaguzi wa marudio katika Jimbo la Kinondoni ambapo Maulid Mtulia (CCM) aliibuka mshindi. Wakati Akwilina . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E