Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

ATCL waahidi kutoa tamko baada ya tuhuma kuwa shirika hilo linauza tiketi za watu waliochelewa Ndege

Monday 17-12-2018 09:00:02pm Bongo5


Shirika la Ndege la ATCL limesema kuwa litatolea maelezo kuhusu tuhuma zilizotolewa na msanii wa muziki Diamond Platnumz akidai kuwa Wafanyakazi wa shirika hilo wanauza tiketi za watu waliochelewa ndege. ATCL wameahidi kuwa leo Desemba 17, 2018 watatoa taarifa zaidi kuhusu tuhuma hizo ambazo zimeanza kusambaa mitandao toka jana. With great sadness Air Tanzania has …The post ATCL waahidi kutoa tamko baada ya tuhuma kuwa shirika hilo linauza tiketi za watu waliochelewa Ndege appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E