🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 31-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kwenye kampeni zake za chaguzi zijazo hawatatumia tena wasanii wa muziki wa Bongo Fleva badala yake watatumia bendi ya TOT kwani nyimbo zao zina ujumbe mahususi kwa Watanzania. Akiongea na Waandishi wa Habari Katibu Mkuu CCM, Dkt. Bashiru Ally akifungua kikao cha Baraza kuu la UVCCM jijini Dodoma leo …The post CCM wawachinjia baharini wasanii wa Bongo Fleva, wadai hawatawatumia tena kwenye kampeni zao appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E