🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 31-08-2018 09:00:02pm Bongo5
Timu ya wamasai wanaocheza mchezo wa kriketi kutokea Kenya, wameitikisa Uingereza kwa mavazi ya asili huku wakifanikiwa kucheza michezo ya kirafiki na klabu kadhaa kwenye tour yao yenye lengo la kuongeza uwelewa juu ya usawa, kuchukia uhalifu, utumwa na kutangaza utamaduni wao. Wakiwa England timu hiyo ya Wamasai inayotokea huko Laikipia nchini Kenya wamefanikiwa kucheza na …The post Picha: Wafahamu wamasai waliyoitikisa Uingereza kwenye kriketi wiki hii appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E