Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Diamond atangaza ujio wa msanii mwingine wa kike WCB ‘naamini wanawake wanaweza, wakiwezeshwa’

Friday 18-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mmiliki wa lebo ya muziki ya WCB, Diamond Platnumz ametangaza rasmi ujio wa msanii mwingine wa kike kwenye lebo yake. Diamond amethibitisha hilo kwenye ukurasa wake wa Twitter, ambapo amesema kuwa anaamini mwanamke akiwezeshwa anaweza. “Nipo mbioni kumtambulisha msanii wa kike (WCB), kwa sababu naamini wanawake wanaweza, wakiwezeshwa,” …The post Diamond atangaza ujio wa msanii mwingine wa kike WCB ‘naamini wanawake wanaweza, wakiwezeshwa’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E