Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Rais Magufuli: Kuna changamoto ambazo kama hazitatatuliwa awamu hii basi hazitatatuliwa maishani

Friday 18-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amesema kuwa changamoto ambazo hazitapata ufumbuzi katika Serikali anayoiongoza, zinaweza zisitatuliwe na viongozi wengine wajao. Ameyasema hayo leo katika hafla ya makabidhiano ya mfumo wa kusimamia uwazi katika mawasiliano ya simu (TTMS), iliyofanyika kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano (TCRA), …The post Rais Magufuli: Kuna changamoto ambazo kama hazitatatuliwa awamu hii basi hazitatatuliwa maishani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E