Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Felix Tshisekedi atangazwa rasmi na Mahakama kuwa Rais mteule wa DR Congo

Sunday 20-01-2019 09:00:03pm Bongo5


Mahakama ya Kikatiba ya nchini DR Congo, jana Jumamosi Januari 20, 2018 imemtangaza rasmi Felix Tshisekedi kama Rais aliyechaguliwa na wananchi kwenye uchaguzi uliofanyika Desemba 30 mwaka jana. Katika uamuzi uliosubiriwa kwa hamu na raia wa nchi hiyo, Mahakama hiyo ilitupilia mbali ombi la mgombea mwingine wa upinzani, Martin Fayulu ambaye alikuwa anadai kwamba matokeo …The post Felix Tshisekedi atangazwa rasmi na Mahakama kuwa Rais mteule wa DR Congo appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2024 Powered by Evance Jay E