🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 20-01-2019 09:00:03pm Bongo5
Mwanadada maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi amemlipua rafiki yake Hamisa Mobetto kwa kumtaka apunguze drama za kijinga. Mange amefunguka hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram, baada ya tetesi kuwa Hamisa Mobetto kwa sasa anatoka na mume wa mtu. Anaekupenda atakwambia ukweli. Please acha huu ujinga unaouanza. Unaanza mambo ya Wema, drama za kipuuzi…..Nobody …The post Mange Kimambi amtolea uvivu Hamisa Mobetto ‘unaanza mambo ya Wema na drama za kipuuzi’ appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E