🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Friday 26-10-2018 09:00:02am Bongo5
Kampuni ya teknolojia ya Google imewafuta kazi watu 48 wakiwemo maafisa 13 wakuu kutokana na tuhuma za unyanyasaji wa kingono tangu 2016. Kwa mujibu wa BBC, Katika barua kwa wafanyakazi wake, mkurugenzi mmkuu mtendaji Sundar Pichai amesema kampuni hiyo kubwa ya teknolojia inachukua ‘msimamo mkali’ dhidi ya tabia zisizo sawa. Barua hiyo inafuata ripoti ya …The post Google yawatimua kazi watu 48 wakiwemo maafisa wake wakuu kwa tuhuma hizi appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E