🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 26-10-2018 09:00:02am Swahili Times
Msanii wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu ameitwa na kuhojiwa na Baraza la Filamu Tanzania kufuatia picha na video zake zenye maudhui ya kingono kusambaa katika mitandao ya kijamii. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza wakati akizungumza na kituo cha runinga cha EATV na kueleza kuwa wameanza kuwachukulia hatua wasanii wote waliovujisha video zenye maudhuhi ya picha za ngono mitandaoni, kwa mujibu wa sheria na miongozo iliyopo, bila kuangalia nani aliyefanya. Wakati hayo yaikiendelea kwa Wema Sepetu, msanii mwingine ambaye hivi karibuni video zake za ngono zimesambaa mitandaoni, Amber Rutty amejikuta matatizoni huku Baraza la . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E