🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 02-08-2018 09:00:02am Bongo5
Hospitali zote nchini pamoja na vituo vyote vya kutolea huduma za Afya zimepigwa marufuku kuonesha miziki katika maeneo yakutolea huduma na badala yake kutakiwa kuweka jumbe zinazohusu Elimu ya Afya kwa umma pindi wanapongoja kupata huduma. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile hapo jana wakati akiwa katika ziara …The post Hospitali na vituo vya afya nchini vyapigwa marufuku kupiga muziki appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E