🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 02-08-2018 09:00:02am Bongo5
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Harmonize amedai kuwa katika maisha yake hajawahi kufikiria kuishi maisha yenye mafanikio makubwa kama anayoyaishi kwa sasa. Harmonize amesema kuwa miaka mitano iliyopita alikuwa mtu wa kawaida na alikuwa akifanya biashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga Kariakoo jijini Dar es salaam lakini kwa sasa amepiga hatua kubwa kimafanikio kwenye muziki. …The post Maisha ninayoishi sikuwahi hata kuyaota, najiona mwenye bahati sana – Harmonize appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E