đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Friday 28-09-2018 09:00:01pm Swahili Times
Kuna watu huamini kwamba hakuna urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke, na kwamba urafiki huo ukiwepo lazima utazalisha kitu kingine. Hiyo ni imani yao, inaweza kuwa kweli au sio kweli kwa kiasi fulani, lakini kikubwa ni kwamba unapokuwa na urafiki na mtu, kuna ishara ambazo ukiziona unajua kabisa kwamba mwenzako anakupenda na anatamani urafiki wenu uende hatua nyingine zaidi. Ishara hizo zinaweza kuwa zinaeleza kile kitu ambacho rafiki yako hawezi kusema kwa maneno, hivyo ni vyema kuangalia kwa makini zaidi. Kumbuka, wakati mwingine rafiki yako anaweza kuonesha ishara hizi kwa sababu anajua ninyi ni marafiki. Hivyo kuwa makini . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E