Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Njia tatu zinazotumiwa kukivuta na kukigeuza Kivuko cha MV Nyerere

Friday 28-09-2018 09:00:01pm Swahili Times


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaack Kamwelwe amesema kuwa serikali katika kukivuta na kukigeuza kivuko cha MV Nyerere kilichozama katika Ziwa Victoria Alahmisi wiki iliyopita itatumia njia tatu katika zoezi hilo. Akizungumza na waandishi wa habari katika Kisiwa cha Ukara ambapo zoezi hilo linafanyika, Waziri Kamwelwe amesema njia ya kwanza ni kutumia maputo ya hewa (floating bags) ambazo zitawekwa ndani ya kivuko hicho na kukiwezesha kuelea ili kuweza kukivuka kwenda sehemu yenye maji kidogo ili kuweza kugeuzwa. Amesema kuwa kuna ‘floating bags’ 7 ambapo kila moja ikijazwa upepo inauwezo wa kutuna na kuwa na ‘pressure’ ya tani 18 . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E