🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 01-07-2018 09:00:02pm Bongo5
Msanii wa muziki Bongo kutokea WCB, Rayvanny amefunguka kuhusu taarifa zinazodai kuwa Rich Mavoko hayupo tena katika label hiyo. Muimbaji huyo amesema ingawa yeye si msemaji rasmi wa suala hilo ila Rich Mavoko bado yupo nao WCB na wamekuwa wakiwasiliana mara kwa mara. Taarifa za Rich Mavoko kutokwepo WCB zilianza kuchipuka June 19 , 2018 .The post Jibu la Rayvanny iwapo Rich Mavoko ameondoka WCB appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E