🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Sunday 01-07-2018 09:00:02pm Bongo5
Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Argentina, Diego Maradona amesema kuwa timu hiyo ya taifa kwa sasa haina maelewano uwanjani kwani wachezaji hawajui cha kufanya pale wanapopata mpira. Maradona akiongea mapema leo na shirika la Habari la  teleSUR, amesema kuwa safu ya ulinzi ya Argentina imekuwa haina maelewano kabisa na hawajui cha kufanya .The post Maradona awatolea uvivu Argentina, amfananisha Mbappe na mchezaji huyu mkongwe duniani appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E