Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Bongo5

Kesi ya rushwa inayomkabili Gulamali kuendelea July 4

Sunday 01-07-2018 09:00:02pm Bongo5


Mahakama ya Wilaya ya Singida inatarajia kuendelea kusikiliza kesi ya rushwa ya Sh.Mil 2 inayomkabili Mbunge wa Singida Kaskazini, Haider Gulamali July 4,2018. Awali mahakama hiyo ilisikiliza ushahidi wa mashahidi wanne wa upande wa mashtaka mbele ya Hakimu Mfawidhi,Flora Ndale. Miongoni mwa mashahidi hao ni Ofisa Usalama mkoa wa Singida, Kiseo Nzowa anayedaiwa kupewa rushwa hiyo .The post Kesi ya rushwa inayomkabili Gulamali kuendelea July 4 appeared first on Bongo5.com. Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Bongo5 POST`S


Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

Breaking: Mahakama yatupilia mbali ombi la Tundu Lisu, la kutengua uamuzi wa Spika wa bunge – Video...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5

RC Makonda amkabidhi Juma Kaseja, zawadi ya mamilioni ya fedha aliyomuahidi – Picha...
Soma zaidi

Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5

Padri asimulia alivyolazimishwa kutengeneza mabomu na magaidi...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E