🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 19-07-2018 09:00:02am Bongo5
Rapper Joh Makini kutoka Weusi ameeleza mtazamo wake juu ya wasanii wa kiume wa muziki nchini kuvaa vikuku ambapo kwa mtazamo wake amesema yeye hilo anaona kama ni staili tu. Joh akiongea na Bongo5 amesema kuwa wasanii ni watu ambao wanaishi na fasheni na style mbalimbali hivyo msanii kuvaa kikuku ni maamuzi yake na yeye …The post Joh Makini afunguka ishu ya wasanii wa kiume kuvaa vikuku ‘sijui kesho yangu ila sioni tatizo’ (+video) appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E