🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Bongo5
Thursday 19-07-2018 09:00:02am Bongo5
Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amedai kuwa klabu ya Yanga imeifedhehesha Tanzania nchini Kenya usiku wa kuamkia leo kwa kukubali kipigo cha goli 4-0. Manara akikazia hoja yake amesema Yanga wanatumia fedha nyingi za kigeni hovyo kwa miaka yote jambo ambalo halileti maana kwani klabu hiyo imekuwa ikivurunda kwenye michuano ya kimataifa huku …The post Manara adai Yanga wameifedhehesha Tanzania, amuomba Rais Magufuli aingilie kati appeared first on Bongo5.com. Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Bongo5. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 12:00:02pm Bongo5
Monday 09-09-2019 10:00:06am Bongo5
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E