🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Wednesday 05-12-2018 09:00:01pm Swahili Times
Dar es Salaam:Â Kampuni ya ujenzi kutoka nchini China, China Civil Engineering and Construction Corporation imeshinda zabuni ya ujenzi ya awamu ya pili ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) utakaogharimu TZS bilioni 368 ($160 milioni). Ujenzi wa mradi huo utakaokuwa na barabara zenye urefu wa 20.3km utajumuisha barabara 2 za juu zitakazokuwa na upana wa mita 24 na urefu wa mita 150, vituo vya mabasi 29, kumba cha kuongozea pamoja na karakana ya magari (garage). Ujenzi wa mradi huo ambao utaanza mwezi huu unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 36 (miaka 3). Afisa Uhusiano wa Wakala wa BRT, William Gatambi aliliambia . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E