Bongo Trends

đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Video: Kinachofanyika ndani ya nyumba ya siri ya kuulia wapinzani nchini Burundi

Wednesday 05-12-2018 09:00:01pm Swahili Times


Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Burundi, vinaendesha nyumba za siri kwa ajili ya kuwathibiti wapinzani wa serikali ya Rais Pierre Nkurunziza, afisa wa zamani wa usalama nchini humo ameliambia Shirika la Utangazaji wa Uingereza (BBC). Kwa kutumia mbinu ya ‘cutting-edge reconstruction’, BBC imeweza kuifanyia uchambuzi moja ya nyumba zilizowekwa katika mitandao mwaka 2016 ikielezwa kuwa inatumiwa na maafisa hao kuuwa wapinzani. Katika video hiyo, kimiminika chenye rangi nyekundu kinachoaminika kuwa ni damu kilionekana kikitoka ndani ya nyumba hiyo kupitia mfumo wa maji machafu, ambapo wengi waliotoa maoni yao katika video hiyo walieleza kuwa, kimiminika hicho ni damu ya watu . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E