đŸ””Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!
Like Our Facebook Page Download App (Google Play)Image by Swahili Times
Wednesday 05-12-2018 09:00:01pm Swahili Times
Baadhi ya wahadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wameanza kuhojiwa kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kuomba rushwa ya ngono kutoka kwa wanafunzi kwa miadi ya kuwasaidia katika masuala mbalimbali ya kimasomo, hasa changamoto za mitihani. Shughuli ya kuwahoji wahadhiri hao inafanya na kamati maalum iliyoundwa kuchunguza vitendo hivyo chuoni hapo ikiwa ni siku chache baada ya mmoja wa wahadhiri kutoka chuoni hapo, Dkt Vicensia Shule kuripoti kuwa rushwa ya ngono imekithiri katika chuo hicho kikongwe Tanzania. Dkt Shule kwa mara ya kwanza aliibua uovu huo kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo alieleza kuwa alikuwa na . Continue reading.
Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.
Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times
Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times
Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E