Bongo Trends

🔔Habari, Udaku na Umbea wa Bongo nzima katika APP Moja!

Like Our Facebook Page Download App (Google Play)


Image by Swahili Times

Kauli ya mwisho ya CCM ‘mvutano’ wa Katibu Mkuu, Dkt Bashiru na Bernard Membe

Tuesday 04-12-2018 09:00:02pm Swahili Times


Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeingilia kati mvutano unaoendelea kati ya Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally na mwanachama wa chama hicho Bernard Membe na kusema kwamba, mijadala inayohusu kauli ya katibu huyo imepotoshwa na kwamba haina tija. Kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, chama hicho kimeeleza kuwa kimesikitishwa na upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu katika mitandao ya kijamii kuhusu wito wa kiongozi wa chama hicho kutaka kuonana na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe. “CCM inapenda kuwafahamisha kuwa imefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wito alioutoa Ndg. . Continue reading.




Disclaimer: This blog post is written by Swahili Times. Evance Jay E is not the original author of this post.
For any concern please contact me by phone: +255712730419, email me@evancejaye.com or follow me on instagram @evancejaye, twitter @evancejaye or facebook @evancejaye. Enjoy and share this post.

Read Original Article



Swahili Times POST`S


Thursday 13-06-2019 09:00:04pm Swahili Times

Wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania...
Soma zaidi

Thursday 06-06-2019 09:00:05am Swahili Times

Mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo 2019/2020...
Soma zaidi


Copyright @ Bongo Trends 2026 Powered by Evance Jay E